RC KUNENGE AFUTURISHA MAKUNDI MBALIMBALI YA WANANCHI DAR, MUFTI WA TANZANIA ATOA NENO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge leo May 10 amefuturisha Makundi Mbalimbali ya Wananchi wakiwemo Walemavu wa Viungo, Wasioona, Wasiosikia, Wenye ulemavu wa Ngozi, Wajane, Wasiojiweza, Yatima na Wadau wa maendeleo ambapo Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally ametumia hafla hiyo kutangaza utaratibu wa Sala ya Eid